Familles

Sehemu kwa ajili ya Wazazi

Read this page in another language: français, English, español, Shqip (Albanian), ;العربية (Arabic), Български (Bulgarian), 中文 (Chinese simplified), 中文 (Chinese traditional), hrvatski (Croatian), فارسی (Farsi), Deutsch (German), italiano (Italian), македонски јазик (Macedonian), Polski (Polish), português (Portuguese), Română (Romanian), Русский (Russian), Српски (Serbian), Swahili, Tagalog (Tagalog), ไทย (Thai), Türkçe (Turkish), اردو (Urdu), Tiếng Việt (Vietnamese), Wolof.

_______

Je, unatakiwa kwenda kwenye Mkutano wa Wazazi na Waalimu au kukutana na Waalimu au mmoja wa viongozi wa Shule?

Je, unatamani kufuatilia mahudhurio ya mtoto wako shule au taaluma yake kwa uzuri zaidi, lakini una matatizo ya kujieleza kwa Kifaransa?
 
Kupitia programu ya Jamii ya Kutafsiri/Ukalimani (ICV) tunaweza kukupa msaada wa kukuunganisha na mtu anayeongea lugha yako na ile ya tasisi husika, ili ufanikiwe kwenye taratibu zote unazozihitaji.
 
Kupitia Jamii yetu ya Kutafsiri/Ukalimani (ICV) tutaweza kukusaidia kiundani zaidi kuelewa maudhui ya mkutano na ushiriki wa ukamilifu hata kwenye Mdahalo/Mada, kuuliza maswali, kutoa maoni yako au kuelezea matatizo yako.
 
Kuingilia kwa watu wenye uwelewa wa lugha yako, itakuruhusu wewe kushiriki kikamilifu kwenye shughuli zote za shule (Mikutanoni, kwenye Mahojiano, Maadhimisho/Sherehe n.k) Kwa njia hii inatoa nafasi ya wewe kuongeza mafanikio ya Mtoto wako.
 
Sema hapana kwa Kutegwa na ndiyo kwa fursa ya ushirikiano na usawa. Usisite kukubali wito wa huduma zetu.

Kwa kutumia huduma zetu

Tunawakaribisha kujaza fomu kupitia Mtandao/Libeneke yetu. Pia unaweza kuwasiliana na sisi kwenye namba ya simu katika Ofisi zetu +41 22 8001436.
 
* Huduma hii ni kwa Mtu yoyote bila ya kujali Umbile, Rangi au Kabila.

©1998-2024 Migralingua|system mcart|Mis à jour: 2024-02-07 11:35 GMT|Notre politique | RSS|